+255784519486 marampya@gmail.com
December 21, 2019 - BY Admin

Uzinduzi Marampya

KUTOKA TCCIA MARA

THE NEXT BIG NEWS THIS JUNE 2020

HABARI NYINGINE KUBWA MWEZI HUU!

Ndugu zangu wana Mara Ninamshukuru Mungu tumeamka salama wenye afya.


TRH 25.6.2020 Tunatarajia Kufanya Tukio Kubwa Sana la Uzinduzi wa Kituo cha KIDIGITALI cha MARA MPYA


Kituo hiki kitasaidia Kufanya shughuli zifuatazo:-

1. Kuutangaza Mkoa wa Mara kama Kitivo cha Utalii na Lango la Biashara la Afrika Mashariki

2. Kutangaza Fursa za Uwekezaji na Biashara zilizopo Mkoa wa Mara kwa Wadau wa ndani na nje ya nchi

3. Kutangaza na Kuuza Bidhaa na Malighafi zinazozalishwa Mara


TUNAOMBA Ikiwa unapenda Ujisajili Kushiriki Tukio hili Muhimu sana ktk Historia ya Mkoa na Nchi Yetu.


UZINDUZI huu unakwenda Sambamba na Uzinduzi wa MFUKO wa MITAJI na UWEZESHAJI wa TCCIA Mfuko unaotusaidia Kubuni na Kufanikisha Miradi ya Kimkakati ktk Mkoa na Hivyo Kama Kiongozi, Mwanatccia, Mfanyabiashara, Mwekezaji, Mkulima, Mfugaji, Mvuvi, Mtumishi, Mjasiriamali Mdogo au Mkubwa Tunaomba Mchango wa Tshs 500; Tshs 1000; Tshs 5,000; Tshs 10,000; Tshs 20,000; Tshs 50,000; Tshs 100,000 kuchangia Mfuko wetu.

Kama una swali au jambo lolote la kushauri Mawasiliano yetu ni:

Mkti Bndengo 0784 519 486

Mtendaji Francis 0753 583 661

It is Time!

Let Us Make it Happen Now!


Karibuni Tuijenge Sekta Binafsi Mkoa wa Mara

Mungu Ibariki Mara

Mungu Ibariki Tanzania

Boniface Ndengo

Imetolewa na Mkti wa TCCIA Mara
Tarehe 6.June.2020
0 ITEMS
0 /=