+255784519486 marampya@gmail.com

Karibu kila Wilaya ya Mkoa wa Mara kuna madini ya dhahabu na madini mengine. Mgodi wa
ACACIA miongoni mwa migodi mikubwa ya dhahabu duniani upo Wilaya ya Tarime Mkoa wa
Mara. Fursa katika sekta hii ni mitaji na teknolojia za uchimbaji kwa wachimbaji wadogo

0 ITEMS
0 /=