+255784519486 marampya@gmail.com


Vinara wa shughuli za michezo katika Mkoa wa Mara ni Timu yetu ya Biashara United inayocheza ligi Kuu. Tunazo pia Timu za daraja la tatu katika wilaya za Musoma, Butiama, Tarime, Serengeti na Bunda. Kituo cha Malezi ya Vipaji cha Bsmart Sports Academy kilichopo Musoma Mjini kimeanzishwa ili kusaidia kujenga Vipaji vya watoto,

Tamaduni maarufu za Mkoa wa Mara ni pamoja na nyama choma ya kichuli, kinywaji cha togwa, ugali wa mhogo na mtama, mziki wa iritungu, irilandi, ugali wa mahindi unaopikwa kwa maziwa n.k

0 ITEMS
0 /=