+255784519486 marampya@gmail.com


Mara ni Mkoa wa tatu nchini katika shughuli za ufugaji. Mara ni wafugaji wa ng’ombe, mbuzi,
kondoo, kuku. Tunazo pia fursa kwa ajili ya ufugaji wa samaki, nyuki na unaweza pia kuwaona
ndege aina ya tausi kwenye makumbusho ya Mwalimu Julius Nyerere yaliyopo Butiama.

0 ITEMS
0 /=