+255784519486 marampya@gmail.com

Huwezi kuongelea Mkoa wa Mara bila kuitaja Hifadhi ya Serengeti, Hifadhi maarufu Sanaa
duniani iliyo makazi ya the Big Five Twiga, Tembo, Simba, Chui na Nyati. Baada ya Serikali
kufanya uamuzi wa kujenga Makao Makuu ya TANAPA (Tanzania National Parks) katika Wilaya
ya Bunda, Mkoa wa Mara unakuwa sasa Kitivo cha Shughuli za Utalii katika Ukanda wa Afrika
Mashariki. Fursa muhimu katika sekta hii ni pamoja na hoteli za Kitalii na nyumba za kulaza
wageni. Mkoa wa Mara tunayo pwani nzuri sana kwa ajili ya ujenzi wa hotel na shughuli za
beach na utalii.

0 ITEMS
0 /=