+255784519486 marampya@gmail.com

Mara ndio Mkoa unaomiliki karibu asilimia 60 ya ziwa Victoria kati ya mikoa ya Tanzania. Mazao
maarufu katika shughuli za uvuvi ni: Samaki aina ya Sangara (nile perch), sato, dagaa, kambale,
n.k karibu asilimia 15 ya Wakazi wa Mara wanaishi kwa kutegemea shughuli za uvuvi. Fursa
zilizopo katika sekta hii ni pamoja na uhitaji wa teknolojia za usindikaji mazao ya samaki.

0 ITEMS
0 /=