+255784519486 marampya@gmail.com


Mkoa wa Mara bado shughuli za Viwanda vipo chini sana, tunahitaji Viwanda kuchakata mazao ya wanyama kama maziwa, nyama na ngozi. Lakini tunahitaji Viwanda vya kuchakata samaki, mazao ya wakulima mfano pamba, kahawa n.k

0 ITEMS
0 /=